How can schools in Kenya keep water flowing during droughts and public health shocks? This 2-minute video from the Sustainable WASH Systems Learning Partnership (SWS) illustrates the growing challenges and new responses to deliver safe and reliable water supplies.
Je, shule inchini Kenya zinawezaje kudumisha uwepo wa maji safi wakati wa misimu ya kiangazi na changamoto za afya ya umma? Video hii ya dakika tatu inagusia changamoto na siluhisho mmbadala katika hoja kuu ya kuhakikisha jamii zinapata mabomba ya maji safi na ya kuaminika.
Related Resources